Diamond amezungumzia mziki wake, maisha yake, maneno mengi juu yake pamoja na utajiri alionao .Akizungumza na mtangazaji Larry Madowo Diamond amesema kuwa madini aliyoyatupia yana zaidi ya thamani ya shilingi miliomi 20 ($15,000) pale alipoulizwa kuhusu thamani ya madini aliyokuwa ameyatupia wakati huo wa interview...mtizame na kumsikiliza katika interview hiyo isikie mengi aliyoyaongea.

No comments:
Post a Comment
ENDBOY